Complete Lyrics: Yumba – by Darassa ft Harmonize | Free Lyrics Download

Complete Lyrics: Yumba - by Darassa ft Harmonize | Free Lyrics Download
Complete Lyrics: Yumba – by Darassa ft Harmonize | Free Lyrics Download

Download Mp3 Here

Darassa ft Harmonize – Yumba lyrics
Yumba eeh Yumba yaani Darassa na KondeBoy (255 Champion boy, Classic) Yumba, Yumba Aga nikiwind my beiby  Jipinde pinde kama kama nyoka Pinda mgongo unibebe Nisije nikadondoka (Ooh nah nah nah nah) Njiani napita pita samahani sister Macho kama unaniiita yamekolea shisha Mwaga mapicha picha yasambae Insta Yaani kesho kukicha jana kama vita Suruali pale viatu kule Usilale lale kaa mkao tule Njoo tukufunze kozi ambazo huwezi kupewa shule Njoo nikutunze baby huwezi kufanya kazi ya bure Ukiwa na King agiza tu utaletewa Ukiwa queen kwenye joto utapepewa Jiongeze jiongeze nishanogewa Napenda kuyumba yumba nishalewa Nasema baby apo kati, baby apo kati Ata mabubu wanatoaga sauti Baby apo kati, baby apo kati Hata jambazi sugu linapigaga saluti I say Stop!  Twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba) Akiwa karibu unamkumbatia(Yumba Yumba) Eeeh twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba) And I say(Yumba) Aliyekaribu unakamatia(Yumba Yumba) And I say(Yumba) Oooh nah nah nah nah Funga funga mishikaki  Funga no paki Rhumba takitaki  Dole gumba hapi Yumba juu, nyumba chini, yumba katikati Yumba yumba mwili kama umelegea nati Samahani namba unayopiga haipatikani Kama umepoteza uliza Google watakupa ramani Kama una chuki ota mbawa upae angani Au pasua ardhi uingie ukae ndani Bado nawagongea gongo Nakomalia mchongo, nawashushia vigongo Umevalia usongo, wa mangoma msondo, eeeh eeh uongo  Anajua Mungu mwenye mbingu ardhi na udongo Mzee kasema sesema Gosha mperampera Nambeba Sanchoka  Na nyuma kashafunga tela I say Stop!  Twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba) Akiwa karibu unamkumbatia(Yumba Yumba) Eeeh twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba) And I say(Yumba) Aliyekaribu unakamatia(Yumba Yumba) And I say(Yumba) Oooh nah nah nah nah Oooh amechanganya kushi na nyagi Kalewa wamembeba (Anatokaje?) Alijifanya mjuaji kumbe mimba haikwepi leba (Aaah itakuwaje?) Akaagiza agiza mama totoro Nisha agiza agiza chumba godoro Naitandiza nyumba mpaka tomorrow.

Thanks for Visiting our blog today, come again tomorrow. What’s your Reaction on this Post?... Also comment below, it's easy.
+1
0
+1
0
+1
0
+1
0
+1
0
+1
0
+1
0
Be The First to Tell Your Friends About This. Share NOW!